Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 99:2 - Swahili Revised Union Version

2 BWANA ni mkuu katika Sayuni, Naye ametukuka juu ya mataifa yote.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Mwenyezi-Mungu ni mkuu katika Siyoni; ametukuka juu ya mataifa yote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Mwenyezi-Mungu ni mkuu katika Siyoni; ametukuka juu ya mataifa yote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Mwenyezi-Mungu ni mkuu katika Siyoni; ametukuka juu ya mataifa yote.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Mwenyezi Mungu ni mkuu katika Sayuni; ametukuzwa juu ya mataifa yote.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 bwana ni mkuu katika Sayuni; ametukuzwa juu ya mataifa yote.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

2 BWANA ni mkuu katika Sayuni, Naye ametukuka juu ya mataifa yote.

Tazama sura Nakili




Zaburi 99:2
15 Marejeleo ya Msalaba  

BWANA ni mkuu juu ya mataifa yote, Na utukufu wake ni juu ya mbingu.


Amewatiisha watu wa nchi chini yetu, Na mataifa chini ya miguu yetu.


Mungu ayatawala mataifa, Mungu ameketi katika kiti chake kitakatifu.


Tokea Sayuni, ukamilifu wa uzuri, Mungu ameangaza kote.


Atawalaye kwa uweza wake milele; Ambaye macho yake yanaangalia mataifa; Hebu wanaoasi wasijitukuze nafsi zao.


Maana Wewe, BWANA, ndiwe Uliye juu, Juu sana kuliko nchi yote; Umetukuka sana juu ya miungu yote.


Paza sauti, piga kelele, mwenyeji wa Sayuni; Maana Mtakatifu wa Israeli ni mkuu kati yako.


Wajumbe wa taifa hilo waletewe jibu gani? Ya kuwa BWANA ameiweka misingi ya Sayuni, na ndani yake wale walioonewa katika watu wake watapata kimbilio kwake.


Hakutazama uovu katika Yakobo, Wala hakuona ukaidi katika Israeli. BWANA, Mungu wake, yu pamoja naye, Na sauti kuu ya mfalme iko katikati yao.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo