Zaburi 83:9 - Swahili Revised Union Version9 Uwatende kama ulivyowatenda Midiani, Sisera, Na Yabini, penye kijito cha Kishoni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Uwatende ulivyowatenda watu wa Midiani, ulivyowatenda Sisera na Yabini mtoni Kishoni, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Uwatende ulivyowatenda watu wa Midiani, ulivyowatenda Sisera na Yabini mtoni Kishoni, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Uwatende ulivyowatenda watu wa Midiani, ulivyowatenda Sisera na Yabini mtoni Kishoni, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Uwatendee kama vile ulivyowatendea Midiani, na kama vile ulivyowatendea Sisera na Yabini hapo kijito cha Kishoni, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Uwatendee kama vile ulivyowatendea Midiani, na kama vile ulivyowatendea Sisera na Yabini hapo kijito cha Kishoni, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Uwatende kama ulivyowatenda Midiani, Sisera, Na Yabini, penye kijito cha Kishoni. Tazama sura |