Zaburi 83:1 - Swahili Revised Union Version1 Ee Mungu, usistarehe, Ee Mungu, usinyamae, wala usitulie. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Ee Mungu, usikae kimya! Usinyamaze ee Mungu, wala usitulie! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Ee Mungu, usikae kimya! Usinyamaze ee Mungu, wala usitulie! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Ee Mungu, usikae kimya! Usinyamaze ee Mungu, wala usitulie! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Ee Mungu, usikae kimya, usinyamaze, Ee Mungu, usikae mbali. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Ee Mungu, usinyamaze kimya, usinyamaze, Ee Mungu, usitulie. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Ee Mungu, usistarehe, Ee Mungu, usinyamae, wala usitulie. Tazama sura |