Zaburi 81:6 - Swahili Revised Union Version6 Nimeutua mzigo begani mwake; Mikono yake nikaiondolea kazi nzito. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 “Mimi nilikutua mizigo yako mabegani, nilikuondolea matofali uliyochukua mikononi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 “Mimi nilikutua mizigo yako mabegani, nilikuondolea matofali uliyochukua mikononi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 “Mimi nilikutua mizigo yako mabegani, nilikuondolea matofali uliyochukua mikononi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Asema, “Nimeondoa mzigo mabegani mwao; mikono yao iliwekwa huru kutoka kwa kikapu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Asema, “Nimeondoa mzigo mabegani mwao; mikono yao iliwekwa huru kutoka kwenye kikapu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Nimeutua mzigo begani mwake; Mikono yake nikaiondolea kazi nzito. Tazama sura |