Zaburi 71:4 - Swahili Revised Union Version4 Ee Mungu wangu, uniponye mkononi mwa mkorofi, Katika mkono wake mwovu na mdhalimu, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Niokoe, ee Mungu wangu, mikononi mwa waovu, kutoka makuchani mwa wabaya na wakatili. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Niokoe, ee Mungu wangu, mikononi mwa waovu, kutoka makuchani mwa wabaya na wakatili. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Niokoe, ee Mungu wangu, mikononi mwa waovu, kutoka makuchani mwa wabaya na wakatili. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Ee Mungu wangu uniokoe kutoka mkono wa mwovu, kutoka makucha ya watu wapotovu na wakatili. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Ee Mungu wangu uniokoe kutoka kwenye mkono wa mwovu, kutoka kwenye makucha ya watu wabaya na wakatili. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Ee Mungu wangu, uniponye mkononi mwa mkorofi, Katika mkono wake mwovu na mdhalimu, Tazama sura |