Zaburi 69:3 - Swahili Revised Union Version3 Nimechoka kwa kulia kwangu, Koo yangu imekauka. Macho yangu yamedhoofika Kwa kumngoja Mungu wangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Niko hoi kwa kupiga yowe, na koo langu limekauka. Macho yangu yamefifia, nikikungojea ewe Mungu wangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Niko hoi kwa kupiga yowe, na koo langu limekauka. Macho yangu yamefifia, nikikungojea ewe Mungu wangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Niko hoi kwa kupiga yowe, na koo langu limekauka. Macho yangu yamefifia, nikikungojea ewe Mungu wangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Nimechoka kwa kuomba msaada, koo langu limekauka. Macho yangu yanafifia, nikimtafuta Mungu wangu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Nimechoka kwa kuomba msaada, koo langu limekauka. Macho yangu yanafifia, nikimtafuta Mungu wangu. Tazama sura |