Zaburi 5:8 - Swahili Revised Union Version8 BWANA, uniongoze kwa haki yako, Kwa sababu yao wanaoniotea. Uinyoshe njia yako mbele ya uso wangu, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Uniongoze, ee Mwenyezi-Mungu, katika uadilifu wako, maana maadui zangu ni wengi; uiweke njia yako wazi mbele yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Uniongoze, ee Mwenyezi-Mungu, katika uadilifu wako, maana maadui zangu ni wengi; uiweke njia yako wazi mbele yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Uniongoze, ee Mwenyezi-Mungu, katika uadilifu wako, maana maadui zangu ni wengi; uiweke njia yako wazi mbele yangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Niongoze katika haki yako, Ee Mwenyezi Mungu, kwa sababu ya adui zangu, nyoosha njia yako mbele yangu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Niongoze katika haki yako, Ee bwana, kwa sababu ya adui zangu, nyoosha njia yako mbele yangu. Tazama sura |