Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 5:1 - Swahili Revised Union Version

1 Ee BWANA, uyasikilize maneno yangu, Ukuangalie kutafakari kwangu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Usikilize maneno yangu, ee Mwenyezi-Mungu, usikie ninavyopiga kite.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Usikilize maneno yangu, ee Mwenyezi-Mungu, usikie ninavyopiga kite.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Usikilize maneno yangu, ee Mwenyezi-Mungu, usikie ninavyopiga kite.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Ee Mwenyezi Mungu, tegea sikio maneno yangu, uangalie kupiga kite kwangu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Ee bwana, tegea sikio maneno yangu, uangalie kupiga kite kwangu.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

1 Ee BWANA, uyasikilize maneno yangu, Ukuangalie kutafakari kwangu.

Tazama sura Nakili




Zaburi 5:1
12 Marejeleo ya Msalaba  

Ee BWANA, usikie haki, ukisikilize kilio changu, Utege sikio lako kwa maombi yangu, Yasiyotoka katika midomo ya hila.


Maneno ya kinywa changu, Na mawazo ya moyo wangu, Yapate kibali mbele zako, Ee BWANA, Mwamba wangu, na mwokozi wangu.


Ee Mungu, uyasikie maombi yangu, Uyasikilize maneno ya kinywa changu.


Mungu, uisikie sauti yangu katika malalamiko yangu; Unilinde uhai wangu kutoka kwa hofu ya adui.


Wewe uchungaye Israeli, usikie, Wewe umwongozaye Yusufu kama kundi; Wewe uketiye juu ya makerubi, utoe nuru.


Ee BWANA, utege sikio lako unijibu, Maana mimi ni maskini na mhitaji.


Kadhalika Roho naye hutusaidia udhaifu wetu, kwa maana hatujui kuomba jinsi itupasavyo, lakini Roho mwenyewe hutuombea kwa kuugua kusikoweza kutamkwa.


Kwa kuwa macho ya Bwana huwaelekea wenye haki, Na masikio yake husikiliza maombi yao; Bali uso wa Bwana uko juu ya watenda mabaya.


Basi Hana alikuwa akinena moyoni mwake; midomo yake tu ilionekana kama anena, sauti yake isisikiwe; kwa hiyo huyo Eli alimdhania kuwa amelewa.


Usimdhanie mjakazi wako kuwa ni mwanamke asiyefaa kitu; kwa kuwa katika wingi wa kuugua kwangu na kusikitika kwangu ndivyo nilivyonena hata sasa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo