Zaburi 48:1 - Swahili Revised Union Version1 Bwana ndiye aliye mkuu, Na mwenye kusifiwa sana. Katika mji wa Mungu wetu, Katika mlima wake mtakatifu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Mwenyezi-Mungu, ni mkuu; astahili kusifiwa sana katika mji wake na mlima wake mtakatifu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Mwenyezi-Mungu, ni mkuu; astahili kusifiwa sana katika mji wake na mlima wake mtakatifu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Mwenyezi-Mungu, ni mkuu; astahili kusifiwa sana katika mji wake na mlima wake mtakatifu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Mwenyezi Mungu ni mkuu, anayestahili kusifiwa sana, katika mji wa Mungu wetu, mlima wake mtakatifu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 bwana ni mkuu, anayestahili kusifiwa sana, katika mji wa Mungu wetu, mlima wake mtakatifu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Bwana ndiye aliye mkuu, Na mwenye kusifiwa sana. Katika mji wa Mungu wetu, Katika mlima wake mtakatifu. Tazama sura |