Zaburi 4:3 - Swahili Revised Union Version3 Bali jueni ya kuwa BWANA amejiteulia mtauwa; BWANA husikia nimwitapo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Jueni kuwa Mwenyezi-Mungu amejiteulia mwaminifu wake. Mwenyezi-Mungu husikia kila ninapomwomba. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Jueni kuwa Mwenyezi-Mungu amejiteulia mwaminifu wake. Mwenyezi-Mungu husikia kila ninapomwomba. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Jueni kuwa Mwenyezi-Mungu amejiteulia mwaminifu wake. Mwenyezi-Mungu husikia kila ninapomwomba. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Fahamuni hakika kwamba Mwenyezi Mungu amewatenga wale wamchao kwa ajili yake; Mwenyezi Mungu atanisikia nimwitapo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Fahamuni hakika kwamba bwana amewatenga wale wamchao kwa ajili yake; bwana atanisikia nimwitapo. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Bali jueni ya kuwa BWANA amejiteulia mtauwa; BWANA husikia nimwitapo. Tazama sura |