Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 30:3 - Swahili Revised Union Version

3 Umeniinua nafsi yangu, Ee BWANA, kutoka kuzimu. Umenihuisha na kunitoa Miongoni mwao washukao Shimoni.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Ee Mwenyezi-Mungu, umeniokoa kutoka kuzimu; umenipa tena uhai, umenitoa miongoni mwa waendao kuzimu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Ee Mwenyezi-Mungu, umeniokoa kutoka kuzimu; umenipa tena uhai, umenitoa miongoni mwa waendao kuzimu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Ee Mwenyezi-Mungu, umeniokoa kutoka kuzimu; umenipa tena uhai, umenitoa miongoni mwa waendao kuzimu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Ee Mwenyezi Mungu, umenitoa Kuzimu, umeniokoa nisishuke kwenye shimo la mauti.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Ee bwana, umenitoa Kuzimu, umeniokoa nisishuke kwenye shimo la mauti.

Tazama sura Nakili




Zaburi 30:3
13 Marejeleo ya Msalaba  

Yeye ameikomboa nafsi yangu isiende shimoni, Na uhai wangu utautazama mwanga.


Hulituma neno lake, huwaponya, Huwatoa katika maangamizo yao.


Maana umeniponya nafsi yangu na mauti, Macho yangu na machozi, Na miguu yangu na kuanguka.


Maana hutaitupa kuzimu nafsi yangu, Wala hutamtoa mtakatifu wako aone uharibifu.


Ee BWANA, nitakuita Ewe, mwamba wangu, Usiwe kwangu kama kiziwi. Nisije nikafanana nao washukao shimoni, Ikiwa umeninyamalia.


Maana umeniponya nafsi yangu na mauti; Je! Hukuizuia miguu yangu isianguke? Ili niende mbele za Mungu Katika nuru ya walio hai.


Wewe, uliyetuonesha mateso mengi, mabaya, Utatuhuisha tena. Utatupandisha juu tena Kutoka katika vina virefu chini ya nchi.


Maana fadhili zako kwangu ni nyingi sana; Umeiopoa nafsi yangu na kuzimu.


Ee Bwana, kwa mambo hayo watu huishi; Na uhai wa roho yangu u katika hayo yote; Kwa hiyo uniponye na kunihuisha.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo