Zaburi 21:4 - Swahili Revised Union Version4 Alikuomba uhai, ukampa, Muda mrefu wa siku nyingi, milele na milele. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Alikuomba maisha nawe ukampa; ulimpa maisha marefu milele na milele. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Alikuomba maisha nawe ukampa; ulimpa maisha marefu milele na milele. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Alikuomba maisha nawe ukampa; ulimpa maisha marefu milele na milele. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Alikuomba maisha, nawe ukampa, wingi wa siku milele na milele. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Alikuomba maisha, nawe ukampa, wingi wa siku milele na milele. Tazama sura |