Zaburi 21:2 - Swahili Revised Union Version2 Umempa haja ya moyo wake, Wala hukumzuilia matakwa ya midomo yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Umemtimizia matakwa ya moyo wake; wala hukumkatalia ombi lake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Umemtimizia matakwa ya moyo wake; wala hukumkatalia ombi lake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Umemtimizia matakwa ya moyo wake; wala hukumkatalia ombi lake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Umempa haja ya moyo wake na hukumzuilia maombi ya midomo yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Umempa haja ya moyo wake na hukumzuilia maombi ya midomo yake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Umempa haja ya moyo wake, Wala hukumzuilia matakwa ya midomo yake. Tazama sura |