Zaburi 21:10 - Swahili Revised Union Version10 Matunda yao utayaharibu na kuyaondoa katika nchi, Na wazao wao katika wanadamu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Utawaangamiza wazawa wao kutoka duniani; watoto wao hawatasalia kati ya binadamu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Utawaangamiza wazawa wao kutoka duniani; watoto wao hawatasalia kati ya binadamu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Utawaangamiza wazawa wao kutoka duniani; watoto wao hawatasalia kati ya binadamu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Utawaangamiza wazao wao kutoka duniani, uzao wao kutoka wanadamu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Utawaangamiza wazao wao kutoka duniani, uzao wao kutoka wanadamu. Tazama sura |