Zaburi 2:5 - Swahili Revised Union Version5 Ndipo atakaposema nao kwa hasira yake, Na kuwafadhaisha kwa ghadhabu yake, akisema: Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Kisha, anawakaripia kwa ghadhabu, na kuwatisha kwa hasira, akisema: Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Kisha, anawakaripia kwa ghadhabu, na kuwatisha kwa hasira, akisema: Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Kisha, anawakaripia kwa ghadhabu, na kuwatisha kwa hasira, akisema: Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Kisha huwakemea katika hasira yake na kuwaogopesha katika ghadhabu yake, akisema, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Kisha huwakemea katika hasira yake na kuwaogopesha katika ghadhabu yake, akisema, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Ndipo atakaposema nao kwa hasira yake, Na kuwafadhaisha kwa ghadhabu yake, akisema: Tazama sura |