Zaburi 17:2 - Swahili Revised Union Version2 Hukumu yangu na itoke kwako, Macho yako na yatazame mambo ya adili. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Haki yangu na ije kutoka kwako, kwani wewe wajua jambo lililo la haki. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Haki yangu na ije kutoka kwako, kwani wewe wajua jambo lililo la haki. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Haki yangu na ije kutoka kwako, kwani wewe wajua jambo lililo la haki. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Hukumu yangu na itoke kwako, macho yako na yaone yale yaliyo haki. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Hukumu yangu na itoke kwako, macho yako na yaone yale yaliyo haki. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Hukumu yangu na itoke kwako, Macho yako na yatazame mambo ya adili. Tazama sura |