Zaburi 15:2 - Swahili Revised Union Version2 Ni mtu aendaye kwa ukamilifu, Na kutenda haki. Asemaye kweli kwa moyo wake, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Ni mtu aishiye bila lawama, atendaye daima yaliyo mema, asemaye ukweli kutoka moyoni; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Ni mtu aishiye bila lawama, atendaye daima yaliyo mema, asemaye ukweli kutoka moyoni; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Ni mtu aishiye bila lawama, atendaye daima yaliyo mema, asemaye ukweli kutoka moyoni; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Ni yule aendaye pasipo mawaa, atendaye yaliyo haki, asemaye kweli toka moyoni mwake, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Ni yule aendaye pasipo mawaa, atendaye yaliyo haki, asemaye kweli toka moyoni mwake, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Ni mtu aendaye kwa ukamilifu, Na kutenda haki. Asemaye kweli kwa moyo wake, Tazama sura |