Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 142:1 - Swahili Revised Union Version

1 Kwa sauti yangu nitamlilia BWANA, Kwa sauti yangu nitamwomba BWANA dua.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Namlilia Mwenyezi-Mungu kwa sauti, namsihi Mwenyezi-Mungu kwa sauti yangu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Namlilia Mwenyezi-Mungu kwa sauti, namsihi Mwenyezi-Mungu kwa sauti yangu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Namlilia Mwenyezi-Mungu kwa sauti, namsihi Mwenyezi-Mungu kwa sauti yangu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Namlilia Mwenyezi Mungu kwa sauti, napaza sauti yangu kwa Mwenyezi Mungu anihurumie.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Namlilia bwana kwa sauti, nainua sauti yangu kwa bwana anihurumie.

Tazama sura Nakili




Zaburi 142:1
12 Marejeleo ya Msalaba  

Huyo Yabesi akamlingana Mungu wa Israeli, akisema, Lau kwamba ungenibariki kweli kweli, na kuipanua mipaka yangu, na mkono wako ukawa pamoja nami, nawe ungenilinda nisipatwe na maovu wala madhara! Naye Mungu akamjalia hayo aliyoyaomba.


Ee BWANA, nimekuita, unijie hima, Uisikie sauti yangu nikuitapo.


Uisikie sauti ya dua yangu nikuombapo, Nikipainulia patakatifu pako mikono yangu.


Ee BWANA, nilikulilia Wewe, Naam, kwa BWANA niliomba dua.


Heri aliyesamehewa dhambi, Na kuondolewa makosa yake.


Ee Mungu, kwa jina lako uniokoe, Na kwa uweza wako unifanyie hukumu.


Unirehemu, Ee Mungu, unirehemu mimi, Maana nafsi yangu imekukimbilia Wewe. Nitaukimbilia uvuli wa mbawa zako, Hadi misiba hii itakapopita.


(watu ambao ulimwengu haukustahili kuwa nao), walikuwa wakizungukazunguka katika nyika na katika milima na katika mapango na katika mashimo ya nchi.


Akafika penye mazizi ya kondoo kando ya njia, na huko kulikuwa na pango; Sauli akaingia ndani ili kwenda haja. Na Daudi na watu wake walikuwa wakikaa mle pangoni ndani sana.


Nao watu wa Daudi wakamwambia, Tazama, hii ndiyo siku ile aliyokuambia BWANA, Angalia, nitamtia adui yako mikononi mwako, nawe utamtenda yoyote utakayoona kuwa mema. Basi Daudi akainuka, akaukata upindo wa vazi lake Sauli kwa siri.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo