Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 139:8 - Swahili Revised Union Version

8 Kama ningepanda mbinguni, Wewe uko; Ningefanya kuzimu kitanda changu, Wewe uko.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Nikipanda juu mbinguni, wewe upo; nikijilaza chini kuzimu, wewe upo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Nikipanda juu mbinguni, wewe upo; nikijilaza chini kuzimu, wewe upo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Nikipanda juu mbinguni, wewe upo; nikijilaza chini kuzimu, wewe upo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Nikienda juu mbinguni, wewe uko huko; nikifanya vilindi kuwa kitanda changu, wewe uko huko.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Kama nikienda juu mbinguni, wewe uko huko; nikifanya vilindi kuwa kitanda changu, wewe uko huko.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

8 Kama ningepanda mbinguni, Wewe uko; Ningefanya kuzimu kitanda changu, Wewe uko.

Tazama sura Nakili




Zaburi 139:8
8 Marejeleo ya Msalaba  

Kaburi li wazi mbele yake, Uharibifu nao hauna kifuniko.


Kuzimu na Uharibifu viko wazi mbele za BWANA; Si zaidi basi, mioyo ya wanadamu?


Je, mtu yeyote aweza kujificha mahali pa siri, nisimwone? Asema BWANA. Je! Mbingu na nchi hazikujawa nami? Asema BWANA.


Ujapopanda juu kama tai, Ijapokuwa kiota chako kimewekwa kati ya nyota, Nitakushusha kutoka huko; asema BWANA.


Akasema, Nilimlilia BWANA kwa sababu ya shida yangu, Naye akaniitikia; Katika tumbo la kuzimu niliomba, Nawe ukasikia sauti yangu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo