Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 139:21 - Swahili Revised Union Version

21 Je! BWANA nisiwachukie wanaokuchukia? Nisiudhike nao watu wanaokuasi?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Ee Mwenyezi-Mungu, nawachukia wanaokuchukia; nawadharau sana wale wanaokuasi!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Ee Mwenyezi-Mungu, nawachukia wanaokuchukia; nawadharau sana wale wanaokuasi!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Ee Mwenyezi-Mungu, nawachukia wanaokuchukia; nawadharau sana wale wanaokuasi!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Ee Mwenyezi Mungu, je, nisiwachukie wanaokuchukia? Nisiwachukie sana wanaoinuka dhidi yako?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Ee bwana, je, nisiwachukie wanaokuchukia? Nisiwachukie sana wanaoinuka dhidi yako?

Tazama sura Nakili




Zaburi 139:21
12 Marejeleo ya Msalaba  

Yehu mwana wa Hanani mwonaji akatoka kwenda kumlaki, akamwambia mfalme Yehoshafati, Je! Imekupasa kuwasaidia waovu, na kuwapenda wamchukiao BWANA? Kwa ajili ya hayo ghadhabu itokayo kwa BWANA i juu yako.


Macho yangu yachuruzika mito ya machozi, Kwa sababu hawaitii sheria yako.


Nimewaona watendao uhaini nikachukizwa, Kwa sababu hawakulitii neno lako.


Anayedharau waovu Machoni pake, Bali huwaheshimu wamchao BWANA Aliyeapa ingawa kwa hasara yake, Hayabadili maneno yake.


Nimelichukia kusanyiko la watenda mabaya, Wala sitaketi pamoja na watu waovu.


Nawachukia wao washikao yasiyofaa yenye uongo; Bali mimi namtumainia BWANA.


Bali kama hamtaki kusikia, roho yangu italia kwa siri, kwa sababu ya kiburi chenu; na jicho langu litalia sana na kutoka machozi mengi, kwa kuwa kundi la BWANA limechukuliwa mateka.


Akawakazia macho pande zote kwa hasira, akiona huzuni kwa ajili ya ugumu wa mioyo yao, akamwambia yule mtu, Nyosha mkono wako. Naye akaunyosha; mkono wake ukawa mzima tena.


Alipofika karibu aliuona mji, akaulilia,


Ninayajua matendo yako, na taabu yako, na subira yako, na ya kuwa huwezi kuchukuliana na watu wabaya, tena umewajaribu wale wanaojiita mitume, nao sio, ukawaona kuwa waongo;


Lakini una jambo hili, kwamba wayachukia matendo ya Wanikolai, ambayo mimi pia nayachukia.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo