Zaburi 135:8 - Swahili Revised Union Version8 Aliwapiga wazaliwa wa kwanza wa Misri, Wa wanadamu na wa wanyama. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Ndiye aliyewaua wazaliwa wa kwanza huko Misri, wazaliwa wa watu na wanyama kadhalika. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Ndiye aliyewaua wazaliwa wa kwanza huko Misri, wazaliwa wa watu na wanyama kadhalika. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Ndiye aliyewaua wazaliwa wa kwanza huko Misri, wazaliwa wa watu na wanyama kadhalika. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Alimuua mzaliwa wa kwanza wa Misri, mzaliwa wa kwanza wa wanadamu na wanyama. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Alimuua mzaliwa wa kwanza wa Misri, mzaliwa wa kwanza wa wanadamu na wanyama. Tazama sura |
basi ilikuwa hapo Farao alipojifanya kuwa mgumu ili asitupe ruhusa kuondoka, BWANA akawapiga wazaliwa wa kwanza wote waliokuwa katika nchi ya Misri, wa binadamu na wa mnyama; kwa ajili ya hayo namtolea BWANA wote wafunguao tumbo, wakiwa wa kiume; lakini wazaliwa wa kwanza wote wa wana wangu nawakomboa.