Zaburi 135:2 - Swahili Revised Union Version2 Ninyi msimamao nyumbani mwa BWANA, Nyuani mwa nyumba ya Mungu wenu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Msifuni enyi mkaao katika nyumba yake, ukumbini mwa nyumba ya Mungu wetu! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Msifuni enyi mkaao katika nyumba yake, ukumbini mwa nyumba ya Mungu wetu! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Msifuni enyi mkaao katika nyumba yake, ukumbini mwa nyumba ya Mungu wetu! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 ninyi ambao mnatumika ndani ya nyumba ya Mwenyezi Mungu, katika nyua za nyumba ya Mungu wetu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 ninyi ambao mnatumika ndani ya nyumba ya bwana, katika nyua za nyumba ya Mungu wetu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Ninyi msimamao nyumbani mwa BWANA, Nyuani mwa nyumba ya Mungu wenu. Tazama sura |