Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 118:3 - Swahili Revised Union Version

3 Mlango wa Haruni na waseme sasa, Ya kwamba fadhili zake ni za milele.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Wazawa wa Aroni na waseme: “Fadhili zake zadumu milele.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Wazawa wa Aroni na waseme: “Fadhili zake zadumu milele.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Wazawa wa Aroni na waseme: “Fadhili zake zadumu milele.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Nyumba ya Haruni na iseme sasa: “Fadhili zake zadumu milele.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Nyumba ya Haruni na iseme sasa: “Upendo wake wadumu milele.”

Tazama sura Nakili




Zaburi 118:3
6 Marejeleo ya Msalaba  

Enyi mlango wa Haruni, mtumainini BWANA; Yeye ni msaada wao na ngao yao.


Ninyi nanyi, kama mawe yaliyo hai, mmejengwa muwe nyumba ya Roho, ukuhani mtakatifu, mtoe dhabihu za roho, zinazokubaliwa na Mungu, kwa njia ya Yesu Kristo.


na kutufanya kuwa ufalme, na makuhani kwa Mungu, naye ni Baba yake; utukufu na ukuu una Yeye hata milele na milele. Amina.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo