Zaburi 118:16 - Swahili Revised Union Version16 Mkono wa kulia wa BWANA umetukuzwa; Mkono wa kulia wa BWANA hutenda makuu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Mkono wa nguvu wa Mwenyezi-Mungu umeleta ushindi! Mkono wa Mwenyezi-Mungu umetenda mambo makuu!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Mkono wa nguvu wa Mwenyezi-Mungu umeleta ushindi! Mkono wa Mwenyezi-Mungu umetenda mambo makuu!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Mkono wa nguvu wa Mwenyezi-Mungu umeleta ushindi! Mkono wa Mwenyezi-Mungu umetenda mambo makuu!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Mkono wa kuume wa Mwenyezi Mungu umeinuliwa juu, mkono wa kuume wa Mwenyezi Mungu umetenda mambo makuu!” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Mkono wa kuume wa bwana umeinuliwa juu, mkono wa kuume wa bwana umetenda mambo makuu!” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 Mkono wa kuume wa BWANA umetukuzwa; Mkono wa kuume wa BWANA hutenda makuu. Tazama sura |