Zaburi 118:1 - Swahili Revised Union Version1 Haleluya. Mshukuruni BWANA kwa kuwa ni mwema, Kwa maana fadhili zake ni za milele. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Mshukuruni Mwenyezi-Mungu, kwa kuwa ni mwema, kwa maana fadhili zake zadumu milele. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Mshukuruni Mwenyezi-Mungu, kwa kuwa ni mwema, kwa maana fadhili zake zadumu milele. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Mshukuruni Mwenyezi-Mungu, kwa kuwa ni mwema, kwa maana fadhili zake zadumu milele. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Mshukuruni Mwenyezi Mungu, kwa kuwa ni mwema; fadhili zake zadumu milele. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Mshukuruni bwana, kwa kuwa ni mwema; upendo wake wadumu milele. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Haleluya. Mshukuruni BWANA kwa kuwa ni mwema, Kwa maana fadhili zake ni za milele. Tazama sura |
itasikika tena sauti ya furaha na sauti ya shangwe, sauti ya bwana arusi na sauti ya bibi arusi, sauti yao wasemao Mshukuruni BWANA wa majeshi, maana BWANA ni mwema, rehema zake ni za milele; na sauti zao waletao sadaka za shukrani nyumbani kwa BWANA. Kwa kuwa nitawarudisha wafungwa wa nchi hii kama kwanza, asema BWANA.