Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 102:22 - Swahili Revised Union Version

22 Pindi mataifa watapokusanyika pamoja, Na falme, ili kumtumikia BWANA.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 wakati mataifa yatakapokusanyika pamoja na falme zitakutana kumwabudu Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 wakati mataifa yatakapokusanyika pamoja na falme zitakutana kumwabudu Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 wakati mataifa yatakapokusanyika pamoja na falme zitakutana kumwabudu Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 wakati mataifa na falme zitakapokusanyika ili kumwabudu Mwenyezi Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 wakati mataifa na falme zitakapokusanyika ili kumwabudu bwana.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

22 Pindi mataifa watapokusanyika pamoja, Na falme, ili kumtumikia BWANA.

Tazama sura Nakili




Zaburi 102:22
11 Marejeleo ya Msalaba  

Fimbo ya enzi haitaondoka katika Yuda, Wala mfanya sheria kati ya miguu yake, Hata atakapokuja Yeye, mwenye milki, Ambaye mataifa watamtii.


Miisho yote ya dunia itakumbuka, Na watu watamrejea BWANA; Jamaa zote za mataifa watamsujudia.


Sauti ya walinzi wako! Wanapaza sauti zao, wanaimba pamoja; Maana wataona jicho kwa jicho, Jinsi BWANA arejeavyo Sayuni.


Pigeni kelele za furaha, imbeni pamoja, Enyi mahali pa Yerusalemu palipokuwa ukiwa; Kwa kuwa BWANA amewafariji watu wake, Ameukomboa Yerusalemu.


Tena Habari Njema ya ufalme itahubiriwa katika ulimwengu wote, kuwa ushuhuda kwa mataifa yote; hapo ndipo ule mwisho utakapokuja.


kwa nguvu za ishara na maajabu, katika nguvu za Roho Mtakatifu; hata ikawa tangu Yerusalemu, na kandokando yake, mpaka Iliriko nimekwisha kuihubiri Injili ya Kristo kwa utimilifu;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo