Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 102:12 - Swahili Revised Union Version

12 Bali Wewe, BWANA utaketi ukimiliki milele, Na jina lako litakumbukwa na vizazi vyote.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Lakini wewe, ee Mwenyezi-Mungu, watawala milele; jina lako lakumbukwa vizazi vyote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Lakini wewe, ee Mwenyezi-Mungu, watawala milele; jina lako lakumbukwa vizazi vyote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Lakini wewe, ee Mwenyezi-Mungu, watawala milele; jina lako lakumbukwa vizazi vyote.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Lakini wewe, Ee Mwenyezi Mungu, umeketi kwenye kiti chako cha enzi milele; sifa zako za ukuu zaendelea vizazi vyote.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Lakini wewe, Ee bwana, umeketi katika kiti chako cha enzi milele, sifa zako za ukuu zaendelea vizazi vyote.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

12 Bali Wewe, BWANA utaketi ukimiliki milele, Na jina lako litakumbukwa na vizazi vyote.

Tazama sura Nakili




Zaburi 102:12
15 Marejeleo ya Msalaba  

Yeye huchanua kama vile ua, kisha hukatwa; Hukimbia kama kivuli, wala hakai kamwe.


(Kwani sisi tu wa jana tu, wala hatujui neno, Kwa kuwa siku zetu duniani ni kivuli tu;)


Ninapita kama kivuli kianzacho kutoweka, Ninapeperushwa kama nzige.


Ee BWANA, jina lako linadumu milele, BWANA, sifa zako zitakumbukwa na vizazi vyote.


Bali BWANA atakaa milele, Ameweka kiti chake tayari kwa hukumu.


Asubuhi yachipuka na kumea, Jioni yakatika na kukauka.


Tena Mungu akamwambia Musa, Waambie wana wa Israeli maneno haya, BWANA, Mungu wa baba zenu, Mungu wa Abrahamu, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo, amenituma kwenu; hili ndilo jina langu hata milele, nalo ni kumbukumbu langu hata vizazi vyote.


BWANA, Mfalme wa Israeli, Mkombozi wako, BWANA wa majeshi, asema hivi; Mimi ni wa kwanza, na mimi ni wa mwisho; zaidi yangu mimi hapana Mungu.


Na kwa kuwa umeachwa na kuchukiwa, Hata ikawa hapana mtu aliyepita ndani yako, Nitakufanya kuwa fahari ya milele, Furaha ya vizazi vingi.


Wewe, BWANA, unadumu milele; Kiti chako cha enzi ni tangu kizazi hata kizazi.


Mungu wa milele ndiye makazi yako, Na mikono ya milele i chini yako. Na mbele yako amemsukumia mbali adui; Akasema, Angamiza.


Yesu Kristo ni yeye yule, jana na leo na hata milele.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo