Yoshua 9:5 - Swahili Revised Union Version5 na viatu vilivyotoboka na kushonwashonwa katika miguu yao, na mavazi makuukuu tena mkate wote wa chakula chao ulikuwa umekauka na kuota ukungu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 wakavaa viatu, nguo zilizochakaa na vyakula vyao vyote vilikuwa vikavu vilivyoota ukungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 wakavaa viatu, nguo zilizochakaa na vyakula vyao vyote vilikuwa vikavu vilivyoota ukungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 wakavaa viatu, nguo zilizochakaa na vyakula vyao vyote vilikuwa vikavu vilivyoota ukungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Walivaa miguuni mwao viatu vilivyoraruka na kushonwa, kisha wakavaa nguo kuukuu. Chakula chao kilikuwa mkate uliokauka na kuingia koga. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Walivaa miguuni mwao viatu vilivyoraruka na kushonwa kisha wakavaa nguo kuukuu. Chakula chao kilikuwa mkate uliokauka na kuingia koga. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 na viatu vilivyotoboka na kushonwashonwa katika miguu yao, na mavazi makuukuu tena mkate wote wa chakula chao ulikuwa umekauka na kuota ukungu. Tazama sura |