Yoshua 8:11 - Swahili Revised Union Version11 Watu wote, hao wa vita, waliokuwa pamoja naye, wakaenda wakakaribia, na kufika mbele ya mji, wakatua upande wa kaskazini wa Ai; napo palikuwa na bonde kati yao na Ai. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Wanajeshi wote waliofuatana naye walikaribia mji na kupiga kambi kaskazini yake, ngambo ya bonde mkabala wa mji wa Ai. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Wanajeshi wote waliofuatana naye walikaribia mji na kupiga kambi kaskazini yake, ngambo ya bonde mkabala wa mji wa Ai. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Wanajeshi wote waliofuatana naye walikaribia mji na kupiga kambi kaskazini yake, ng'ambo ya bonde mkabala wa mji wa Ai. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Wanajeshi wote waliokuwa pamoja na Yoshua walipanda, wakakaribia na kufika mbele ya mji. Wakapiga kambi kaskazini mwa Ai, pakiwa na bonde kati yao na huo mji. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Watu wote wa vita waliokuwa pamoja naye walipanda, wakakaribia na kufika mbele ya mji. Wakapiga kambi kaskazini mwa Ai, pakiwa na bonde kati yao na huo mji. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 Watu wote, hao wa vita, waliokuwa pamoja naye, wakaenda wakakaribia, na kufika mbele ya mji, wakatua upande wa kaskazini wa Ai; napo palikuwa na bonde kati yao na Ai. Tazama sura |