Yoshua 7:4 - Swahili Revised Union Version4 Basi watu wakaenda huko wapata elfu tatu tu; nao wakakimbizwa na wakazi wa mji wa Ai. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Basi, watu kama elfu tatu hivi wakaenda kuushambulia mji wa Ai, lakini wakakimbizwa na wakazi wa mji huo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Basi, watu kama elfu tatu hivi wakaenda kuushambulia mji wa Ai, lakini wakakimbizwa na wakazi wa mji huo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Basi, watu kama elfu tatu hivi wakaenda kuushambulia mji wa Ai, lakini wakakimbizwa na wakazi wa mji huo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Basi wakapanda kama wanaume elfu tatu tu, lakini wakashambuliwa na wanaume wa Ai, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Basi wakapanda kama watu elfu tatu tu, lakini wakashambuliwa na watu wa Ai, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Basi watu wakaenda huko wapata elfu tatu tu; nao wakakimbizwa na wakazi wa mji wa Ai. Tazama sura |