Yoshua 6:9 - Swahili Revised Union Version9 Wale watu wenye silaha walikwenda mbele ya hao makuhani walioyapiga mabaragumu, na wale waliokuwa nyuma wakalifuata hilo sanduku; makuhani wakiyapiga mabaragumu walipokuwa wakienda. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Wale watu wenye silaha wakawatangulia wale makuhani ambao walikuwa wanapiga mabaragumu, na walinzi wengine wakifuata nyuma ya sanduku hilo, huku mabaragumu yakilia kwa mfululizo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Wale watu wenye silaha wakawatangulia wale makuhani ambao walikuwa wanapiga mabaragumu, na walinzi wengine wakifuata nyuma ya sanduku hilo, huku mabaragumu yakilia kwa mfululizo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Wale watu wenye silaha wakawatangulia wale makuhani ambao walikuwa wanapiga mabaragumu, na walinzi wengine wakifuata nyuma ya sanduku hilo, huku mabaragumu yakilia kwa mfululizo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Walinzi waliokuwa na silaha wakaenda mbele ya hao makuhani waliopiga hizo baragumu na hao walinzi wa nyuma wakafuata Sanduku. Wakati wote huu baragumu zilikuwa zikipigwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Walinzi waliokuwa na silaha wakaenda mbele ya hao makuhani waliopiga hizo baragumu na hao walinzi wa nyuma wakafuata Sanduku. Wakati wote huu baragumu zilikuwa zikipigwa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Wale watu wenye silaha walikwenda mbele ya hao makuhani waliopiga mabaragumu, na wale waliokuwa nyuma wakalifuata hilo sanduku; makuhani wakipiga mabaragumu walipokuwa wakienda. Tazama sura |