Yoshua 6:3 - Swahili Revised Union Version3 Nanyi mtauzunguka mji huu, wapiganaji wote, mkiuzunguka mji mara moja. Fanya hivi siku sita. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Wewe na wale watu wenye silaha wote mtauzunguka huo mji mara moja kila siku kwa siku sita. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Wewe na wale watu wenye silaha wote mtauzunguka huo mji mara moja kila siku kwa siku sita. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Wewe na wale watu wenye silaha wote mtauzunguka huo mji mara moja kila siku kwa siku sita. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Zunguka mji mara moja pamoja na watu wote wenye silaha. Fanya hivi kwa siku sita. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Zunguka mji mara moja pamoja na watu wote wenye silaha. Fanya hivi kwa siku sita. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Nanyi mtauzunguka mji huu, wapiganaji wote, mkiuzunguka mji mara moja. Fanya hivi siku sita. Tazama sura |