Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yoshua 5:8 - Swahili Revised Union Version

8 Ilikuwa walipokwisha kutahiriwa taifa zima, wakakaa kila mtu mahali pake kambini, hadi walipopoa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Wanaume wote walipokwisha tahiriwa walikaa katika sehemu zao humo kambini mpaka walipopona.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Wanaume wote walipokwisha tahiriwa walikaa katika sehemu zao humo kambini mpaka walipopona.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Wanaume wote walipokwisha tahiriwa walikaa katika sehemu zao humo kambini mpaka walipopona.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Baada ya taifa lote kutahiriwa, waliendelea kukaa kambini hadi walipopona.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Baada ya taifa lote kutahiriwa, waliendelea kukaa kambini mpaka walipokuwa wamepona.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

8 Ilikuwa walipokwisha kutahiriwa taifa zima, wakakaa kila mtu mahali pake kambini, hadi walipopona.

Tazama sura Nakili




Yoshua 5:8
3 Marejeleo ya Msalaba  

Ikawa siku ya tatu, walipokuwa wakiumwa sana, wana wawili wa Yakobo, Simeoni na Lawi, nduguze Dina, wakatwaa kila mtu upanga wake, wakaujia mji kwa ujasiri, wakawaua wanaume wote.


Na watoto wao, aliowainua badala yao ndio hao aliowatahiri Yoshua; kwa kuwa wao walikuwa hawajatahiriwa, kwa maana hawakuwatahiri njiani.


BWANA akamwambia Yoshua, Siku hii ya leo nimeivingirisha hiyo aibu ya Misri iondoke juu yenu. Kwa hiyo jina la mahali pale likaitwa Gilgali, hata hivi leo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo