Yoshua 4:4 - Swahili Revised Union Version4 Basi Yoshua akawaita hao watu kumi na wawili, aliokuwa ameteua tangu hapo awali, katika wana wa Israeli, kila kabila mtu mmoja; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Yoshua akawaita hao watu kumi na wawili ambao alikuwa amewateua miongoni mwa Waisraeli, kila kabila mtu mmoja, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Yoshua akawaita hao watu kumi na wawili ambao alikuwa amewateua miongoni mwa Waisraeli, kila kabila mtu mmoja, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Yoshua akawaita hao watu kumi na wawili ambao alikuwa amewateua miongoni mwa Waisraeli, kila kabila mtu mmoja, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Basi Yoshua akawaita watu kumi na wawili ambao alikuwa amewachagua miongoni mwa Waisraeli, mtu mmoja kutoka kila kabila, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Basi Yoshua akawaita watu kumi na wawili ambao alikuwa amewachagua kutoka miongoni mwa Waisraeli, mtu mmoja kutoka kila kabila, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Basi Yoshua akawaita hao watu kumi na wawili, aliokuwa amewateua tangu hapo awali, katika wana wa Israeli, kila kabila mtu mmoja; Tazama sura |