Yoshua 4:20 - Swahili Revised Union Version20 Na yale mawe kumi na mawili waliyoyatwaa katikati ya Yordani Yoshua akayasimamisha Gilgali. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Yoshua akayasimika yale mawe kumi na mawili ambayo waliyachukua kutoka mtoni Yordani, huko Gilgali. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Yoshua akayasimika yale mawe kumi na mawili ambayo waliyachukua kutoka mtoni Yordani, huko Gilgali. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Yoshua akayasimika yale mawe kumi na mawili ambayo waliyachukua kutoka mtoni Yordani, huko Gilgali. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Naye Yoshua akayasimamisha huko Gilgali yale mawe kumi na mbili waliyokuwa wameyachukua katikati ya Mto Yordani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Naye Yoshua akayasimamisha huko Gilgali yale mawe kumi na mawili ambayo walikuwa wameyachukua katikati ya Mto Yordani. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI20 Na yale mawe kumi na mawili waliyoyatwaa katikati ya Yordani Yoshua akayasimamisha Gilgali. Tazama sura |