Yoshua 4:17 - Swahili Revised Union Version17 Basi Yoshua akawaamuru hao makuhani, akawaambia, Haya, kweeni mtoke Yordani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Basi, Yoshua akawaamuru wale makuhani, “Tokeni mtoni Yordani.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Basi, Yoshua akawaamuru wale makuhani, “Tokeni mtoni Yordani.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Basi, Yoshua akawaamuru wale makuhani, “Tokeni mtoni Yordani.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Kwa hiyo Yoshua akawaamuru hao makuhani akisema, “Pandeni kutoka ndani ya Mto Yordani.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Kwa hiyo Yoshua akawaamuru hao makuhani akisema, “Pandeni kutoka ndani ya Mto Yordani.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI17 Basi Yoshua akawaamuru hao makuhani, akawaambia, Haya, kweeni mtoke Yordani. Tazama sura |