Yoshua 4:13 - Swahili Revised Union Version13 walikuwa kama watu elfu arubaini waliobeba silaha tayari kwa vita, waliovuka mbele ya BWANA, waende vitani, hadi nchi tambarare za Yeriko. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Watu wapatao 40,000 wakiwa na silaha tayari kwa vita walipita mbele ya Mwenyezi-Mungu wakielekea bonde la mji wa Yeriko. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Watu wapatao 40,000 wakiwa na silaha tayari kwa vita walipita mbele ya Mwenyezi-Mungu wakielekea bonde la mji wa Yeriko. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Watu wapatao 40,000 wakiwa na silaha tayari kwa vita walipita mbele ya Mwenyezi-Mungu wakielekea bonde la mji wa Yeriko. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Idadi ya wanaume elfu arobaini waliojiandaa kwa vita walivuka mbele za Mwenyezi Mungu hadi nchi tambarare za Yeriko kwa ajili ya vita. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Kiasi cha watu 40,000 waliojiandaa kwa vita walivuka mbele za bwana hadi nchi tambarare za Yeriko kwa ajili ya vita. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 walikuwa kama watu elfu arobaini waliobeba silaha tayari kwa vita, waliovuka mbele za BWANA, waende vitani, hadi nchi tambarare za Yeriko. Tazama sura |