Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Yoshua 3:9 - Swahili Revised Union Version

9 Basi Yoshua akawaambia wana wa Israeli, Njoni huku, mkayasikie maneno ya BWANA, Mungu wenu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Kisha Yoshua akawaambia Waisraeli: “Njoni karibu mpate kusikia maneno ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Kisha Yoshua akawaambia Waisraeli: “Njoni karibu mpate kusikia maneno ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Kisha Yoshua akawaambia Waisraeli: “Njoni karibu mpate kusikia maneno ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Yoshua akawaambia Waisraeli, “Njooni hapa msikilize maneno ya Mwenyezi Mungu, Mungu wenu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Yoshua akawaambia Waisraeli, “Njooni hapa msikilize maneno ya bwana Mwenyezi Mungu wenu.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

9 Basi Yoshua akawaambia wana wa Israeli, Njoni huku, mkayasikie maneno ya BWANA, Mungu wenu.

Tazama sura Nakili

Yoshua 3:9
4 Marejeleo ya Msalaba  

Msifanye kwa kufuata mambo yote tuyafanyayo hapa leo, kila mtu kama apendavyo;

Na sasa, Ee Israeli, zisikilizeni amri na hukumu ninazowafundisha, ili mzitende; mpate kuishi na kuingia na kuimiliki nchi anayowapa BWANA, Mungu wa baba zenu.

Yoshua akasema, Kwa jambo hili mtajua ya kuwa Mungu aliye hai yu kati yenu, na ya kuwa hatakosa kuwatoa mbele yenu Mkanaani, na Mhiti, na Mhivi, na Mperizi, na Mgirgashi, na Mwamori, na Myebusi.

Nawe uwaamuru hao makuhani walichukuao sanduku la Agano, ukawaambie, Mtakapofika ukingo wa maji ya Yordani, simameni katika Yordani.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo