Yoshua 3:11 - Swahili Revised Union Version11 Tazama, sanduku la Agano la Bwana wa dunia yote linavuka mbele yenu na kuingia Yordani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Tazameni, sanduku la agano la Bwana wa dunia yote, liko karibu kupita mbele yenu kuelekea mtoni Yordani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Tazameni, sanduku la agano la Bwana wa dunia yote, liko karibu kupita mbele yenu kuelekea mtoni Yordani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Tazameni, sanduku la agano la Bwana wa dunia yote, liko karibu kupita mbele yenu kuelekea mtoni Yordani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Tazameni, Sanduku la Agano la Bwana wa dunia yote litaingia ndani ya Mto Yordani likiwa limewatangulia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Tazameni, Sanduku la Agano la bwana wa dunia yote litaingia ndani ya Mto Yordani likiwa limewatangulia. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 Tazama, sanduku la Agano la Bwana wa dunia yote linavuka mbele yenu na kuingia Yordani. Tazama sura |