Yoshua 24:29 - Swahili Revised Union Version29 Ikawa, baada ya hayo, Yoshua, mwana wa Nuni, mtumishi wa BWANA, akafa, mwenye umri wa miaka mia moja na kumi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 Baada ya mambo hayo, Yoshua, mwana wa Nuni na mtumishi wa Mwenyezi-Mungu, akafariki akiwa na umri wa miaka 110. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Baada ya mambo hayo, Yoshua, mwana wa Nuni na mtumishi wa Mwenyezi-Mungu, akafariki akiwa na umri wa miaka 110. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Baada ya mambo hayo, Yoshua, mwana wa Nuni na mtumishi wa Mwenyezi-Mungu, akafariki akiwa na umri wa miaka 110. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Baada ya mambo haya, Yoshua mwana wa Nuni, mtumishi wa Mwenyezi Mungu akafa akiwa na umri wa miaka mia moja na kumi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Baada ya mambo haya, Yoshua mwana wa Nuni, mtumishi wa bwana akafa akiwa na umri wa miaka mia moja na kumi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI29 Ikawa, baada ya hayo, Yoshua, mwana wa Nuni, mtumishi wa BWANA, akafa, mwenye umri wa miaka mia moja na kumi. Tazama sura |