Yoshua 24:21 - Swahili Revised Union Version21 Lakini hao watu wakamwambia Yoshua, La! Lakini tutamtumikia BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Nao watu wakamwambia Yoshua, “La, hasha! Sisi tutamtumikia Mwenyezi-Mungu tu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Nao watu wakamwambia Yoshua, “La, hasha! Sisi tutamtumikia Mwenyezi-Mungu tu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Nao watu wakamwambia Yoshua, “La, hasha! Sisi tutamtumikia Mwenyezi-Mungu tu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Lakini watu wakamwambia Yoshua, “Sivyo! Sisi tutamtumikia Mwenyezi Mungu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Lakini watu wakamwambia Yoshua, “Sivyo! Sisi tutamtumikia bwana.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI21 Lakini hao watu wakamwambia Yoshua, La! Lakini tutamtumikia BWANA. Tazama sura |