Yoshua 23:9 - Swahili Revised Union Version9 Maana BWANA amefukuza mbele yenu mataifa makuu na yenye nguvu, na kwenu ninyi hapana mtu aliyewahi kusimama mbele yenu hata leo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Maana Mwenyezi-Mungu ameyafukuza mbele yenu mataifa makubwa na yenye nguvu na hakuna mtu ambaye ameweza kuwapinga nyinyi hadi leo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Maana Mwenyezi-Mungu ameyafukuza mbele yenu mataifa makubwa na yenye nguvu na hakuna mtu ambaye ameweza kuwapinga nyinyi hadi leo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Maana Mwenyezi-Mungu ameyafukuza mbele yenu mataifa makubwa na yenye nguvu na hakuna mtu ambaye ameweza kuwapinga nyinyi hadi leo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 “Mwenyezi Mungu amewafukuza mbele yenu mataifa makubwa na yenye nguvu, hadi leo hakuna yeyote aliyeweza kusimama mbele yenu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 “bwana amewafukuza mbele yenu mataifa makubwa na yenye nguvu, mpaka siku ya leo hakuna yeyote aliyeweza kusimama mbele yenu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Maana BWANA amefukuza mbele yenu mataifa yaliyo hodari na yenye nguvu, na kwenu ninyi hapana mtu aliyewahi kusimama mbele yenu hata leo. Tazama sura |