Yoshua 21:42 - Swahili Revised Union Version42 Miji hiyo kila mmoja ulikuwa pamoja na mbuga zake za malisho, yaliyouzunguka pande zote; ndivyo ilivyokuwa katika miji hiyo yote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema42 Kila mmoja kati ya miji hii ulizungukwa na mbuga za malisho. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND42 Kila mmoja kati ya miji hii ulizungukwa na mbuga za malisho. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza42 Kila mmoja kati ya miji hii ulizungukwa na mbuga za malisho. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu42 Kila mji kati ya miji hii ulikuwa na maeneo ya malisho kuuzunguka; ndivyo ilivyokuwa kwa miji hii yote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu42 Kila mmoja wa miji hii ulikuwa na sehemu ya malisho kuuzunguka; ndivyo ilivyokuwa kwa miji hii yote. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI42 Miji hiyo kila mmoja ulikuwa pamoja na mbuga zake za malisho, zilizouzunguka pande zote; ndivyo ilivyokuwa katika miji hiyo yote. Tazama sura |