Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Yoshua 21:37 - Swahili Revised Union Version

37 na Kedemothi pamoja na mbuga zake za malisho, na Mefaathi pamoja na mbuga zake za malisho; miji minne.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

37 Kedemothi pamoja na mbuga zake za malisho na Mefaathi pamoja na mbuga zake za malisho. Jumla miji minne.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

37 Kedemothi pamoja na mbuga zake za malisho na Mefaathi pamoja na mbuga zake za malisho. Jumla miji minne.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

37 Kedemothi pamoja na mbuga zake za malisho na Mefaathi pamoja na mbuga zake za malisho. Jumla miji minne.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

37 Kedemothi na Mefaathi, pamoja na maeneo ya malisho ya kila mji: miji minne;

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

37 Kedemothi na Mefaathi, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji minne;

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

37 na Kedemothi pamoja na mbuga zake za malisho, na Mefaathi pamoja na mbuga zake za malisho; miji minne.

Tazama sura Nakili

Yoshua 21:37
4 Marejeleo ya Msalaba  

Nikatuma wajumbe kutoka bara ya Kedemothi kwenda kwa Sihoni mfalme wa Heshboni na maneno ya amani, kusema.

na Yahasa, na Kedemothi, na Mefaathi;

Tena katika kabila la Reubeni, Bezeri pamoja na mbuga zake za malisho, na Yahasa pamoja na mbuga zake za malisho,

Tena katika kabila la Gadi Ramothi katika Gileadi pamoja na mbuga zake za malisho, huo mji wa makimbilio kwa ajili ya mwuaji, na Mahanaimu pamoja na mbuga zake za malisho;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo