Yoshua 21:33 - Swahili Revised Union Version33 Miji yote ya Wagershoni kwa kuandama jamaa zao ilikuwa ni miji kumi na mitatu, pamoja na mbuga zake za malisho. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema33 Jumla ya miji ya jamaa mbalimbali za ukoo wa Gershoni ilikuwa kumi na mitatu pamoja na mbuga zao za malisho. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND33 Jumla ya miji ya jamaa mbalimbali za ukoo wa Gershoni ilikuwa kumi na mitatu pamoja na mbuga zao za malisho. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza33 Jumla ya miji ya jamaa mbalimbali za ukoo wa Gershoni ilikuwa kumi na mitatu pamoja na mbuga zao za malisho. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu33 Miji yote ya koo za Wagershoni ilikuwa kumi na tatu, pamoja na maeneo ya malisho ya kila mji. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu33 Miji yote ya koo za Wagershoni ilikuwa kumi na mitatu, pamoja na sehemu zake za malisho. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI33 Miji yote ya Wagershoni kwa kufuata jamaa zao ilikuwa ni miji kumi na mitatu, pamoja na mbuga zake za malisho. Tazama sura |