Yoshua 21:26 - Swahili Revised Union Version26 Miji yote ya jamaa za wana wa Kohathi waliosalia ilikuwa ni miji kumi, pamoja na mbuga zake za malisho. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Basi, miji ambayo walipewa jamaa za Kohathi zilizosalia ilikuwa kumi pamoja na mbuga zao za malisho. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Basi, miji ambayo walipewa jamaa za Kohathi zilizosalia ilikuwa kumi pamoja na mbuga zao za malisho. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Basi, miji ambayo walipewa jamaa za Kohathi zilizosalia ilikuwa kumi pamoja na mbuga zao za malisho. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Miji hii kumi, na maeneo ya malisho ya kila mji, ilipewa koo za Wakohathi zilizobaki. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Miji yote hii kumi pamoja na sehemu zake za malisho ilipewa koo za Wakohathi zilizobaki. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI26 Miji yote ya jamaa za wana wa Kohathi waliosalia ilikuwa ni miji kumi, pamoja na mbuga zake za malisho. Tazama sura |