Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Yoshua 21:12 - Swahili Revised Union Version

12 Lakini mashamba ya mji, na vile vijiji vyake, wakampa Kalebu mwana wa Yefune kuwa milki yake.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Lakini mashamba ya mji huo pamoja na vijiji vilivyouzunguka alikuwa amekwisha pewa Kalebu mwana wa Yefune viwe mali yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Lakini mashamba ya mji huo pamoja na vijiji vilivyouzunguka alikuwa amekwisha pewa Kalebu mwana wa Yefune viwe mali yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Lakini mashamba ya mji huo pamoja na vijiji vilivyouzunguka alikuwa amekwisha pewa Kalebu mwana wa Yefune viwe mali yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Lakini mashamba na vijiji vilivyouzunguka mji walikuwa wamempa Kalebu mwana wa Yefune kuwa milki yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Lakini mashamba na vijiji vilivyozunguka mji mkubwa walikuwa wamempa Kalebu mwana wa Yefune kuwa milki yake.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

12 Lakini mashamba ya mji, na vile vijiji vyake, wakampa Kalebu mwana wa Yefune kuwa milki yake.

Tazama sura Nakili

Yoshua 21:12
6 Marejeleo ya Msalaba  

Katika kabila la Yuda, Kalebu mwana wa Yefune.

Nao wakawapa Kiriath-arba, ndio Hebroni, (huyo Arba alikuwa baba yake Anaki), katika nchi ya vilima ya Yuda, pamoja na mbuga zake za malisho yaliyouzunguka pande zote.

Kisha wakawapa wana wa Haruni, kuhani, Hebroni pamoja na mbuga zake za malisho yake, huo mji wa kukimbilia kwa ajili ya mwuaji, na Libna pamoja na malisho yake;

Sisi tulishambulia Negebu ya Wakerethi, na ya milki ya Yuda, na Negebu ya Kalebu; na huo mji wa Siklagi tukauchoma moto.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo