Yoshua 2:17 - Swahili Revised Union Version17 Wale wanaume wakamwambia, Sisi tunataka tusiwe na hatia kwa ajili ya kiapo hiki ulichotuapisha. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Hao watu wakamwambia, “Sisi tutalitimiza kabisa jambo ulilotufanya tuahidi kwa kiapo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Hao watu wakamwambia, “Sisi tutalitimiza kabisa jambo ulilotufanya tuahidi kwa kiapo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Hao watu wakamwambia, “Sisi tutalitimiza kabisa jambo ulilotufanya tuahidi kwa kiapo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Wale watu wakamwambia, “Hiki kiapo ulichotuapisha hakitatufunga, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Wale watu wakamwambia, “Hiki kiapo ulichotuapisha hakitatufunga, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI17 Wale wanaume wakamwambia, Sisi tunataka tusiwe na hatia kwa ajili ya kiapo hiki ulichotuapisha. Tazama sura |