Yoshua 19:14 - Swahili Revised Union Version14 kisha mpaka uliizunguka nchi hiyo kwa upande wa kaskazini hadi Hanathoni; kisha mwisho wake ulikuwa katika bonde la Iftaeli; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Upande wa kaskazini mpaka uligeuka kuelekea Hanathoni na kuishia kwenye bonde la Yiftaheli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Upande wa kaskazini mpaka uligeuka kuelekea Hanathoni na kuishia kwenye bonde la Yiftaheli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Upande wa kaskazini mpaka uligeuka kuelekea Hanathoni na kuishia kwenye bonde la Yiftaheli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Huko mpaka ukazungukia upande wa kaskazini hadi Hanathoni na kuishia katika Bonde la Ifta-Eli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Huko mpaka ukazungukia upande wa kaskazini hadi Hanathoni na kuishia katika Bonde la Ifta-Eli. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI14 kisha mpaka uliizunguka nchi hiyo kwa upande wa kaskazini hadi Hanathoni; kisha mwisho wake ulikuwa katika bonde la Iftaeli; Tazama sura |