Yoshua 19:10 - Swahili Revised Union Version10 Kisha sehemu ya tatu ilitokea kwa ajili ya wana wa Zabuloni kwa kufuata jamaa zao; na mpaka wa urithi wao ulifikia hadi Saridi; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Kura ya tatu ilizipata koo za kabila la Zebuluni. Eneo lao lilienea hadi Saridi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Kura ya tatu ilizipata koo za kabila la Zebuluni. Eneo lao lilienea hadi Saridi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Kura ya tatu ilizipata koo za kabila la Zebuluni. Eneo lao lilienea hadi Saridi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Kura ya tatu ikaangukia kabila la Zabuloni, kufuatana na koo zao: Mpaka wa urithi wao uliendelea hadi Saridi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Kura ya tatu ikaangukia kabila la Zabuloni, ukoo kwa ukoo: Mpaka wa urithi wao uliendelea hadi Saridi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Kisha sehemu ya tatu ilitokea kwa ajili ya wana wa Zabuloni kwa kufuata jamaa zao; na mpaka wa urithi wao ulifikia hadi Saridi; Tazama sura |